
KUAMBIANA CUP YAHITIMISHWA- DC LUDEWA ATUMA UJUMBE KWA VIJANA
Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Olivanus Thomas amewataka wachezaji wa timu ndogo ndogo za mitaani kutumia vyema fursa wanazozipata kutoka kwa wafadhili ikiwemo kupelekwa katika Academy mbalimbali ambapo wanapaswa kuwa wavumilivu kwenye academy hizo Ili waweze kutimiza malengo yao. Mkuu huyo wa Wilaya ameyasema hayo alipokuwa akihitimisha mashindano ya Kuambiana Cup na kuongeza kuwa vijana…