
Israel yaua makumi baada ya kushambulia maeneo ya Palestina – DW – 11.09.2024
Wizara ya Afya ya Gaza inayosimamiwa na wanamgambo wa Hamas imesema shambulizi la ndege lililofanywa na Israel katika Ukingo wa Magharibi siku ya Jumatano limewaua Wapalestina watano kwenye eneo hilo. Aidha, maafisa wameongeza kuwa watu wasiopungua 20 wakiwemo watoto na wanawake 16 wameuawa katika Ukanda wa Gaza. Kuhusu shambulizi la Jumanne, wizara ya Afya imesema…