
Hii Taifa Stars usiikatie tamaa
GHAFLA Taifa Stars imepindua meza kibabe na kurudi njia kuu kwenye matumaini ya kufuzu ushiriki wa Fainali za Mataifa Afrika, baada ya kuichapa Guinea kwa mabao 2-1 tena ikiwa ugenini. Mchezo huo wa Kundi H ulipigwa huko Ivory Coast, kulikochaguliwa na Guinea kuwa uwanja wa nyumbani, huku ikitoka kupoteza mbele ya DR Congo wakati Tanzania…