Popa Francis awasili Singapore – DW – 11.09.2024

Umati mkubwa wa watu ulionekana kupeperusha bendera za Vatican na Singapore wakati ndege ya Papa Francis ilipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Changi, ikiwa kituo cha mwisho cha ziara ya siku 12 katika eneo hilo. Baada ya kushuka ndani ya ndege hapo Singapore, Papa Francis alipokewa na Edwin Tong, Waziri wa Utamaduni, Jamii na Vijana,…

Read More

Usichukulie poa, kuna faida katika kutandika kitanda

Dar es Salaam. Hivi unajua kuwa, uimara wa saikolojia yako na mtazamo chanya wa maisha, unajengwa na tabia ya kutandika kitanda mara kwa mara? Kwa taarifa yako, tabia ya kutandika kitanda pekee inakufanya uwe na hali chanya ya kisaikolojia kwa asilimia 25 zaidi ya yule asiyetandika, utafiti wa Chuo Kikuu cha Pennsylvania cha Marekani unaonyesha….

Read More

'Jumuiya ya Kimataifa Lazima Itume Ujumbe Wazi Kwamba Unyakuzi wa Madaraka Hautavumiliwa' — Global Issues

na CIVICUS Jumatano, Septemba 11, 2024 Inter Press Service Septemba 11 (IPS) – CIVICUS inajadili ukandamizaji dhidi ya mashirika ya kiraia nchini Togo na mtetezi wa haki za binadamu ambaye aliomba kutotajwa jina kwa sababu za usalama. Mivutano ya kisiasa nchini Togo imeongezeka kufuatia kupitishwa hivi karibuni kwa mabadiliko ya katiba. Chini ya mfumo mpya…

Read More

HARRIS AMKABILI TRUMP KWA MASUALA YA UCHUMI NA UTOAJI MIMBA KATIKA MDAHALO WA URAIS – MWANAHARAKATI MZALENDO

Makamu wa Rais Kamala Harris na Rais wa zamani Donald Trump walikutana kwa mara ya kwanza katika mdahalo wa urais Jumanne usiku huko Philadelphia. Ingawa walipongezana kwa mikono mwanzoni, hali ya kutoelewana ilitawala mdahalo huo wa dakika 90, ambapo Harris alimtupia Trump mashambulizi ya kibinafsi, hasa kuhusu sera za uchumi na utoaji mimba. Harris alilenga…

Read More

Kamala Harris alivyomtoa jasho Trump mdahalo urais

Zilikuwa ni dakika 90 za moto wakati Makamu wa Rais wa Marekani na mgombea urais kupitia Democrats, Kamala Harris alipochuana na mpinzani wake, Donald Trump wa chama cha Republican. Ulikuwa ni mdahalo wa kwanza kati ya mahasimu hao uliofanyika Jumanne usiku Philadelphia nchini Marekani. Mada muhimu zilizojadiliwa katika mdahalo huo zilihusu uchumi, uhamiaji, afya na…

Read More