
Maboresho yaliyofanyika katika taasisi za umma yameleta mafanikio katika sekta ya biashara
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Seleman Jafo, ameeleza kwamba maboresho yaliyofanyika katika taasisi za umma yameleta mafanikio makubwa, hususan katika sekta ya biashara na usajili wa kampuni. “hadi kufikia Septemba 10, 2024, zaidi ya biashara 250,000 zimesajiliwa nchini, jambo linaloashiria kuimarika kwa mazingira ya biashara”Waziri Jafo, Akizungumza wakati wa ufunguzi wa maonesho ya 19…