
Sintofahamu uchaguzi CUF, Lipumba apata wapinzani
Miaka 32 sasa imepita tangu Chama cha Wananchi (CUF) kilipopata usajili wa kudumu kama chama cha siasa, huku kikipitia milima na mabonde hadi kufikia sasa, kikiwa ni moja kati ya vyama vitano vikubwa nchini. Chama hiki kimepitia hatua mbalimbali za ukuaji wake, kiliwahi kuwa chama kikuu cha upinzani nchini na chama kilichoshiriki kuunda Serikali ya…