
Trump, Harris wapambana kwenye mdahalo wa televisheni – DW – 11.09.2024
Mdahalo huo wa kwanza baina yao umefanyika huko Philadelphia na kuyaweka mezani masuala muhimu ya uchaguzi wa Novemba ikiwemo uchumi, usalama wa mipaka na uhamiaji, sheria za utoaji mimba, mzozo wa mashariki ya kati, vita vya Ukraine pamoja na masuala mengine ya kimataifa. Suala la kwanza kabisa ilikuwa uchumi ambapo Harris alizungumzia historia ya maisha…