
WAHIFADHI TFS-SHAMBA LA MITI SAOHILL WAPONGEZWA KWA UTENDAJI KAZI MZURI
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amewapongeza wahifadhi Shamba la Miti la Miti Saohill kwa utekelezaji mzuri wa majukumu alipotembelea kuona shughuli zinazofanyika katika shamba hilo leo Septemba 10, 2024. Katika ziara hiyo, Mhe. Chana amepokea taarifa ya utekelezaji wa majukumu mbalimbali ya uendelezaji wa shughuli za shamba kutoka…