
Wabunge wafurahishwa na mitalaa mipya UDSM
Dar es Salaam. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imepongeza hatua ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) ya kufanya mapitio ya mitalaa ili kukidhi matakwa ya soko la ajira. Hatua hiyo imeelezwa itatatua changamoto ya wahitimu wa vyuo vikuu kukosa ajira kwa kile kinachodaiwa kuwa hawaajiriki. Leo Jumanne Septemba…