
WAZIRI DKT. GWAJIMA AKABIDHI MASHINE ZA ZAIDI YA SH. MIL. 500 KWA MABINTI MBEYA, SONGWE
NA MWANDISHI WETU, MBEYA Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amekabidhi mashine na vifaa mbalimbali kwa wanawake na wasichana zaidi ya elfu 40 wa mikoa ya Songwe na Mbeya kwa lengo la kuboresha shughuli za uchumi na kuwaepusha na mazingira hatarishi dhidi ya maambukizi ya Virusi Vya…