
Costech yazindua programu za mafunzo kwa wasichana
Dar es Salaam. Tume ya Sayansi na Teknolojia Tanzania (Costech) imezindua rasmi programu mbili za Future Femtech na Kuza Femtech ambazo zinalenga kuwasaidia wasichana kitaaluma na kiteknolojia. Programu hizo zimezinduliwa leo Septemba 10, 2024 Dar es Salaam na Mkurugenzi Mkuu wa Costech, Dk Amos Nungu kwa lengo la kuwainua wasichana ili waweze kuendesha maisha yao…