Geay ageukia New York Marathon

BAADA ya kushindwa kutamba katika marathoni za Olimpiki zilizofanyika Paris, Ufaransa mwaka huu, mwanariadha Gabriel Geay amesema kuwa nguvu zote kwa sasa amezielekeza kwenye mbio za New York City Marathon. Akizungumza na Mwanaspoti, Geay alisema japokuwa ni mara ya kwanza kushiriki mbio hizo, lakini anaamini atakwenda kufanya vizuri kulingana na namna ambavyo anaendelea kufanya mazoezi….

Read More

Mbossa akutana na Boss Shirika la Meli la COSCO

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Bw. Plasduce Mkeli Mbossa, amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu Rais wa Shirika la Meli la COSCO kutoka nchini China, Bw. YangFan Chen kuhusu kuimarisha ushirikiano wa kibiashara baina ya TPA na COSCO. Katika mazungumzo yao Viongozi hao wamejadili namna bora ya kushirikiana ili kuongeza…

Read More

Halotel yaja na kampeni ya ‘Vuna Point -Endesha Boda’

Na Imani Nathaniel, Mtanzania Digital Katika kuadhimisha miaka tisa ya Kampuni ya Mawasiliano ya Halotel, imezindua huduma mpya iliyopewa jina la ” Vuna Point -Endesha Boda”, kampeni hiyo ikiwalenga wateja wake waliopo mjini na vijijini. Akizungumza na waandhishi wa habari jijini Dar es Salaam leo Septemba 10,2024, Mkuu wa Idara ya Uhusiano na Mawasiliano wa…

Read More

Aweso atoa maagiza mfumo wa malipo jumuiya za watumia maji  

Chato. Waziri wa Maji, Jumaa Aweso  amemuagiza Katibu mkuu wa wizara hiyo kwa kushirikiana na Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira  Vijijini (Ruwasa), kupitia upya mfumo wa malipo kwa jumuiya za watumia maji (GPG) ili kutatua changamoto zinazosababisha  wananchi wakose huduma kwa wakati. Akizungumza leo Jumanne Septemba 10, 2024 wakati wa uwekaji wa jiwe…

Read More

ALPHA P AMVUTA OLAMIDE KWENYE OMW

Alpha P amvuta Olamide kwenye OMW, Mwimbaji wa Afrobeat kutokw nchini Nigeria Alpha P, amekuja kivingine kwa mashabiki zake kwa kuachia EP yake iitwayo ‘Welcome to the Pack’ ambayo ina ngoma tano. EP ya staa huyo itakupa hadithi ya kuvutia inayohusu kukatishwa tamaa, marafiki wa uongo, na vita zisivyoisha kwenye maisha. Katika EP hii producer…

Read More

WAZIRU WA AFYA ATEMBELEA MUHIMBILI UPANGA NA MLOGANZILA, ASEMA SERIKALI KUENDELEA KUENDELEA KUBORESHA UBORA WA HUDUMA NCHINI

WAZIRI wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amesema Serikali itaendelea kusimamia ubora wa huduma zinazotolewa kwa wananchi ili kuhakikisha kuwa kila mtanzania anapata huduma bora za afya popote alipo na kwa wakati. Mhe. Mhagama ametoa kauli hiyo mapema leo, alipofanya ziara katika Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa lengo la kujionea namna hospitali hiyo inavyotoa huduma, ambapo…

Read More