Young Profile yaipoteza Crossover | Mwanaspoti

TIMU ya Young Profile imeifunga Crossover kwa pointi 52-49 katika Ligi ya Kikapu Mwanza kwenye mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Mirongo mjini humo. Ushindi wa Young Profile ulitokana na muda wa nyongeza ulioongezwa baada ya timu hizo kufungana pointi 43-43 katika robo zote nne. Baada ya dakika tano kuongezwa, Young Profile ilianza mchezo kwa kasi…

Read More

Vyuo vya mafunzo ya amali kutoa fursa vijana kujiajiri

Unguja. Vyuo vya mafunzo ya amali vimetajwa kuwa ni fursa muhimu kwa vijana kupata ujuzi utakaowasaidia kujiajiri.   Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar, Dk Bakari Ali Silima ametoa kauli hiyo leo Jumanne, Septemba 10, 2024 wakati akizungumza na wanafunzi wa kidato cha nne wa shule mbalimbali kwenye ufunguzi wa maonyesho ya…

Read More

Gidabuday kuzikwa Jumamosi Katesh | Mwanaspoti

MWILI wa Wilhelim Gidabuday utapumzishwa kwenye nyumba yake ya milele Jumamosi kijijini kwao Nangwa, Katesh. Gidabuday aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), amefariki alfajiri ya kuamkia jana Septemba 10, 2024 baada ya kugongwa na gari jijini Arusha. Mdogo wa marehemu, Julius Gidabuday alisema safari ya kwenda Katesh mkoani Manyara itaanza Ijumaa…

Read More

Butiku: Tusiseme hatuwajui, wanaishi kwenye jamii

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere (MNF), Joseph Butiku amewataka viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama wasiseme hawawajui wahusika wa uhalifu kwa kuwa wanaishi kwenye jamii. Sambamba na hilo, Butiku ametaka uwajibikaji wa viongozi inapotokea maeneo waliyopewa kuyaongoza yameingia doa kwa namna yoyote. Kauli hiyo ya Butiku, inakuja katika kipindi…

Read More

Watahiniwa 1,230,780 kufanya mtihani kumaliza elimu ya msingi kesho

Dar es Salaam. Wakati watahiniwa 1,230,780 wakitarajiwa kufanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi (PSLE) kesho, Baraza la Taifa la Mtihani (Necta) limewatahadharisha watahiniwa wanaopanga kufanya udanganyifu, watafutiwa matokeo. Mtihani huo unaotarajiwa kufanyika kwa siku mbili nchi nzima, utaanza kesho Septemba 11 na kumalizika Septemba 12, 2024. Akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya…

Read More

Watu watano mbaroni wakidaiwa kukutwa na tani 1.8 za bangi

Dar es Salaam. Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imewakamata watuhumiwa watano wakidaiwa kukutwa na bangi aina skanka akiwamo Richard Mwanri (47) aliyekuwa akitafutwa kwa madai ya kujihusisha na biashara hiyo. Mwanri anatuhumiwa kuwa mpokeaji wa dawa za kulevya kutoka nchi mbalimbali kuziingiza nchini na usafiri wa magari zikiwa zimefichwa kwa…

Read More

Mahakama yaifuta kesi ya Kabendera dhidi ya Vodacom

Dar es Salaam. Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imeifuta kesi ya mwanahabari Erick Kabendera, aliyokuwa ameifungulia kampuni ya huduma za mawasiliano ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Public Limited. Uamuzi huo wa kuifuata kesi hiyo utolewa leo Jumanne, Septemba 10, 2024 na Naibu Msajili wa Mahakama hiyo, Livin Lyakinana kwa niaba ya…

Read More