Kama sio leo kupiga pesa na Meridianbet utapiga lini?

  Mambo vipi mteja wa Meridianbet je unajua kuwa Jumamosi ya leo unayo nafasi kubwa ya kutimiza ndoto zako ukibashiri za leo na Meridianbet? Ingia kwenye akaunti yako na usuke jamvi lako hapa. Darubini yangu inaanza kumulika ligi kuu ya Uingereza EPL, ambapo mapema kabisa saa 8:30 mchana Manchester City baada ya kulazimishwa sare nyumbani…

Read More

Dk Mwigulu aonya taasisi za ununuzi kukimbilia bidhaa za nje

Dar es Salaam. Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amezitaka taasisi na mashirika ya umma yanayotekeleza miradi ya maendeleo kuacha utaratibu wa kununua malighafi nje ya nchi, bali watumie zinazozalishwa nchini ili kukuza uchumi na ajira kwa Watanzania. Pia, amezitaka kuacha mazoea ya kwamba samani za ofisi zinazotoka nje ya nchi ndizo bora, badala yake…

Read More

Mtoto mchanga akutwa amekufa kwenye maji Moshi

Moshi. Mtoto mchanga anayekadiriwa kuwa na umri wa miezi miwili, amekutwa ametupwa katika chemichemi ya Cofee Curing katika mtaa wa Samaria Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, huku akiwa amefariki. Mwili wa mtoto huyo ulikutwa kwenye maji ukiwa kwenye mfuko, leo Septemba 28, 2024, saa 2:00 asubuhi na mmoja wa wakazi wa eneo hilo ambaye alikuwa…

Read More

KITUO CHA DHARURA ZA ZIMAMOTO MBIONI KUJENGWA SAME..

NA WILLIUM PAUL, SAME. SERIKALI kupitia Wizara ya Mambo ya ndani ya Nchi ipo mbioni kuanza ujenzi wa vituo vya dharura vya zimamoto katika Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro kwa lengo la kukabiliana na majanga ya Moto yanapotokea. Hayo yamebainishwa na Naibu Kamishna wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Goodluck Zelote, ambaye pia ni Mkuu…

Read More

Dakika 540 KenGold ikionja pointi Ligi Kuu Bara

Mbeya.  Licha ya kutangulia kupata bao hadi mapumziko, Ken Gold imeshindwa tena kutamba nyumbani baada ya sare ya bao 1-1 dhidi ya Tabora United katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa katika Uwanja wa sokoine mjini Mbeya, leo. Hiyo inakuwa pointi moja ya kwanza kwa timu hiyo ngeni katika michuano hiyo kufuatia vipigo kwenye michezo…

Read More

kocha Kagera Sugar matatani kwa vipigo

KIPIGO cha mabao 3-1, ilichokipata Kagera Sugar juzi dhidi ya Fountain Gate kimemuweka pabaya kocha mkuu wa kikosi hicho Mganda Paul Nkata ambaye ametakiwa kuandika maelezo kwa viongozi kutokana na mwenendo wa timu hiyo hadi sasa kabla mengine hayajafanyika dhidi yake. Kichapo hicho ni cha tatu kwa timu hiyo msimu huu kati ya michezo mitano…

Read More

Musoma kuchochea uchumi kwa mbio za marathon

Musoma. Wilaya ya Musoma inatarajia kuandaa mbio za Marathon zitakazochochea na kusisimua uchumi wa Manispaa ya Musoma pamoja na watu wake. Akizungumza leo Jumamosi Septemba 28, 2024, kwenye uzinduzi wa klabu ya michezo yakiwemo mazoezi ya kikimbia (jogging) mjini Musoma Mkuu wa Wilaya ya Musoma, Juma Chikoka amesema mbio hizo zinatarajiwa kufanyika kabla mwaka huu haujaisha….

Read More

Mkali wa mabao aanza mikwara Bara

MSHAMBULIAJI wa Fountain Gate, Selemani Mwalimu ‘Gomez’ amesema mwenendo aliokuwa nao katika michezo ya Ligi Kuu Bara hadi sasa unampa morari kuendelea kupambana zaidi, huku akiweka wazi atahakikisha anaendelea kufunga kila akipata nafasi. Kauli hiyo inajiri baada ya kufunga bao moja juzi katika ushindi wa kikosi hicho wa mabao 3-1 dhidi ya Kagera Sugar na…

Read More

Gamondi arudi jikoni kwa Dube, Mzize

YANGA ilipata ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya vibonde wa Ligi Kuu Bara, KenGold, kitu ambacho kimemfanya Kocha Miguel Gamondi ajiulize mara mbilimbili kulikoni? Ikizingatiwa kwamba timu waliyokuwa wakikabiliana nayo ni vibonde na inaburuza mkia. Pamoja na kujiuliza juu ya kutopata mabao mengi, itakumbukwa kwamba kocha huyo awali alikaririwa akisema chama lake linahitaji ushindi…

Read More