
Watu 40 wauawa katika kambi ya al-Mawasi huko Gaza – DW – 10.09.2024
Shirika la habari la Palestina WAFA limeripoti kuwa Israel ilishambulia vikali mapema leo Jumanne katika eneo wanakoishi wakimbizi wa ndani. Lilikuwa shambulio kubwa zaidi kuwahi kushuhudiwa katika kambi ya al-Mawasi yenye msongamano wa watu wanaoishi kwenye mahema huko Gaza, eneo ambalo Israel ililiteua kuwa la kibinadamu kwa mamia ya maelfu ya raia wanaotafuta eneo salama ili kuepuka…