
Balaa la walimu waliozaliwa miaka ya 1980
Ualimu ni taaluma inayotaka nidhamu na maadili ya hali ya juu.Hilo ni kwa kuwa ndio taaluma inayohusiana moja kwa moja na malezi ya watoto. Hata hivyo, uzoefu unaonyesha kada hiyo imekuwa ikikabiliwa na changamoto mbalimbali, ikiwamo utovu wa maadili na ukengeukaji wa miiko miongoni mwa walimu. Matukio kama vile walimu kuwa na uhusiano na wanafunzi…