
Rais Samia aomboleza kifo cha Askofu Sendoro
Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mwanza, Askofu Chediel Sendoro. Askofu Sendoro alifikwa na mauti usiku wa jana Jumatatu, Septemba 9, 2024 kwa ajali ya gari iliyotokea eneo la Kisangiro, Wilaya ya Mwanga ambapo…