
Trump, Harris wafungana mkesha wa mdahalo wa televisheni – DW – 09.09.2024
Kura za maoni zilizochapishwa Jumapili kabla ya mdahalo huo utakaofanyika Jumanne usiku kwa saa za Marekani, zinaonesha ushindani kwenye kinyang’anyiro cha urais ni mkali. Wagombea hao wawili wanachuana bega kwa bega, japo kura za maoni za Jumapili zinaonesha Trump anaongoza kwa kuungwa mkono na karibu nusu ya wapigakura wa Wamarekani, licha ya sifa ya kuwa…