
Tanzania kujifunza mbinu, teknolojia kimataifa kuwainua wavuvi wadogo
Dar es Salaam. Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amesema Tanzania inatarajia kujifunza mbinu na teknolojia mbalimbali kwenye sekta ya uvuvi kutoka nchi zilizoendelea, ili kuwainua wavuvi nchini ambao wengi wao ni wadogo. Waziri Ulega amesema hayo leo Jumatatu Septemba 9, 2024 alipozungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam baada ya kuufungua…