
‘Mauaji haya yawe mwisho Tanzania’
Dar es Salaam. Mauaji ya aliyekuwa kada wa Chadema, Ally Kibao aliyezikwa leo jijini Tanga, yameibua watu mbalimbali, wanaosema matukio hayo yawe mwisho kutokea nchini. Wamesema licha ya Rais Samia Suluhu Hassan kuelekeza mamlaka za uchunguzi zichunguze matukio ya mauaji, uchunguzi huo usihusishe vyombo vya dola. Kwa mujibu wa wadau hao wa masuala ya haki, tume…