
Masauni atakiwa kujiuzulu kufuatia kifo cha kada wa CHADEMA – DW – 09.09.2024
Ingawa wanasiasa na wadau wa siasa, wanakubaliana na sauti za wananchi hawa, wanasema ingawa kujiuzulu hakuwezi kuwa suluhu, lakini ni hatua. Hayo yanajiri siku moja tu baada ya kada wa CHADEMA na Mjumbe wa Sekretarieti ya chama hicho, Ali Mohamed Kibao, kukutwa amefariki eneo la Ununio jijini Dar es Salaam. Waziri wa Mambo ya Ndani wa Tanzania,…