
Majina ya maeneo Zanzibar yanavyoacha watu midomo wazi
Zanzibar ina simulizi na historia inayoweza kumvuta yeyote anayeisikia. Sio simulizi za masaibu ya historia ya siasa kwa wakazi wa kisiwa hicho kikubwa zaidi katika Bahari ya Hindi, lakini hata katika nyanja nyingine ikiwamo ya maendeleo ya makazi. Kwa pamoja, visiwa vya Unguja na Pemba vinavyounda Zanzibar, vina utamaduni wa kipekee wa utoaji majina kwa…