
SMZ yatangaza vitalu vya utafutaji, uchimbaji mafuta na gesi asilia nchi kavu
Unguja. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imetangaza vitalu viwili vya uchimbaji wa mafuta na gesi asilia nchi kavu. SMZ imezikaribisha kampuni za ndani na nje ya nchi zenye nia ya kuwekeza katika sekta hiyo kuwasilisha maombi. Hatua hiyo imefikiwa ikiwa imepita miezi sita tangu izinduliwe duru ya kwanza ya kuvitangaza vitalu vinane vya utafutaji…