
Tunahitaji kuishirikisha Urusi kusaka amani Ukraine – DW – 09.09.2024
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz akizungumza na kituo kimoja cha habari nchini aliweka wazi kwamba anaamini wakati umefika wa kuikaribisha Urusi kwenye mazungumzo ya kumaliza vita Ukraine. Scholz alisema yeye pamoja na Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine wamekubaliana kwamba Urusi inapaswa kushirikishwa katika mazungumzo yajayo ya kutafuta amani yenye lengo la kumaliza vita hivyo vinavyoendelea.Soma…