RAIS MWINYI AREJEA ZANZIBAR – MWANAHARAKATI MZALENDO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti Wa Baraza la Mapinduzi Mhe, Dk.Hussein Ali Mwinyi amerejea Zanzibar, baada ya kumaliza ziara yake nchini Indonesia na kushiriki katika Sherehe za Miaka 50 ya siku ya Ushindi nchini Msumbiji. Dk.Mwinyi amepokelewa na Makamu wa Pili wa Rais Mhe Hemed Suleiman Abdulla pamoja na Viongozi wengine wa Serikali, Chama Cha…

Read More

WIZARA YA FEDHA IMEHITIMISHA KUTOA MAFUNZO YA SHERIA YA UNUNUZI WA UMMA KANDA YA KUSINI – MWANAHARAKATI MZALENDO

Wizara ya Fedha imehitimisha utoaji wa mafunzo kuhusu Sheria ya Ununuzi kwa Umma katika mikoa ya Mtwara, Lindi na Ruvuma. Mafunzo hayo yaliyofanyika katika Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara ili yakilenga kuwapa uelewa kuhusu Sheria mpya ya Ununuzi wa Umma Sura namba 410. Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Kisheria kutoka Kituo cha Ubia kati…

Read More

Waombolezaji wakatisha hotuba ya Waziri Masauni, wamtaka aondoke msibani

Dar es Salaam. Kelele zimetokea wakati hotuba zikiendelea katika msiba wa aliyekuwa kada wa Chadema, Ali Kibao nyumbani kwake mkoani Tanga, wakati Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni akihutubia wananchi. Kelele hizo zimeibuka zikimtaka Waziri Masauni kujiuzulu nafasi yake kutokana na matukio ya kutekwa wananchi yanayoendelea nchini. Hata hivyo, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe aliwatuliza…

Read More

Pinda agusia utapiamlo, wadau wataja kuadimika kwa mbogamboga

Rwanda. Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania, Mizengo Pinda amesema ili kumaliza tatizo la utapiamlo ni lazima ulaji wa chakula bora chenye mbogamboga uhimizwe nchini. Pinda ameyasema hayo katika uzinduzi wa mkakati kabambe wa miaka 10 wa mambo ya chakula barani Afrika uliofanyika Kigali nchini Rwanda Septemba 2-6, 2024. Mkutano huo ulioandaliwa na Taasisi ya World…

Read More

Polisi Tanzania yajitokeza sakata la matibabu ya Mdamu

Inasikitisha, lakini ndio ukweli ulivyo. Gerald Mathias Mdamu aliyewahi kutamba katika soka kupitia timu kadhaa ikiwamo Polisi Tanzania, sasa atakuwa mtazamaji tu wa mchezo huo. Hii ni kutokana na taarifa aliyofahamishwa na daktari aliyemfanyia upasuaji wa kwanza baada ya ajali ya gari ya Julai, 2021. Nyota huyo wa zamani wa Mwadui, amefahamishwa wazi kwamba kwa…

Read More

DNA kufanywa kutambua miili ya waliofariki Endarasha, Kenya – DW – 09.09.2024

Watoto hao walifariki dunia siku ya Alhamisi baada ya moto kuteketeza bweni lao katika shule hiyo ya Hillside Endarasha walipokuwa wamelala. Wanafunzi 17 bado hawajulikani walipo Siku ya Jumamosi, msemaji wa serikali Isaac Mwaura, alisema miili 19 ilipatikana kwenye magofu yaliyoteketea ya jengo hilo, huku wanafunzi wengine wawili wakifia hospitalini, na 17 bado hawajulikani waliko….

Read More

Kihenzile: Wanawake wa Kiislamu msichoke kusimamia maadili

Iringa. Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile ameliomba Baraza Kuu la Wanawake wa Kiislamu Tanzania, waendelee kusimamia maadili kwenye jamii ili kupambana na mmomonyoko unaoendelea kwa sasa. Hata hivyo, amesema mpaka sasa wanawake hao wamefanikiwa kwenye malengo yao, hususani kupigania suala la mavazi ya kujisitiri. Akizungumza leo Jumatatu Septemba 9, 2024 katika mkutano mkuu wa…

Read More

POLISI WAMTAFUTA ALIYEMWAGIA MTOTO MCHANGA KAHAWA YA MOTO – MWANAHARAKATI MZALENDO

Polisi nchini Australia wanashirikiana na wenzao wa kimataifa kumtafuta mwanamume anayeshukiwa kutoroka nchini baada ya kumwagia mtoto mchanga kahawa ya moto mjini Brisbane. Shambulio hilo la mwezi uliopita lililoshtua taifa limemuacha mtoto wa kiume mwenye umri wa miezi tisa na “majeraha mabaya” usoni na viungo vingine mwilini. Polisi wa Queensland wameweka waranti ya kukamatwa kwa…

Read More