
RC arudi mkoa aliohamishwa ili kutimiza ahadi ya mifuko 800 ya saruji
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Rc Ayoub Mahamoud amelazimika kurudi mkoa aliohamishwa Baada ya Teuzi ya Rais ambapo alipokua akihudumu nafasi ya uku wa mkoa wa Kaskazini Unguja kufuatia ahadi aliyoitoa wakati akihudumu kama Mkuu wa Mkoa wakati wa ziara ya Spika wa Bunge la Tanzania Dkt Tulia Ackson baada ya kuahidi mifuko 800…