
MKURUGENZI MTENDAJI WA KARATU AKAGUA UJENZI WA NYUMBA YA DAKTARI, AHIDI KUKAMILIKA KWA WAKATI – MWANAHARAKATI MZALENDO
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu, Juma Hokororo, amefanya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa nyumba ya daktari katika Kijiji cha Kilimamoja. Kwa sasa, nyumba hiyo ipo katika hatua ya mwisho ya upakaji rangi, na Hokororo alionesha kuridhishwa na maendeleo yaliyofikiwa. Katika ziara hiyo, Hokororo alimuahidi Rais Samia Suluhu Hassan kwamba atahakikisha mradi…