
Kina Magoma, Yanga mahakamani tena leo, uamuzi utakavyokuwa
Hatima ya uhalali wa rufaa dhidi ya Klabu ya Dar es Salaam, Young African Sports, maarufu Yanga, inatarajiwa kujulikana leo Jumatatu, Septemba 9, 2024, wakati Mahakama Kuu, Masjala ya Dar es Salaam, itakapotoa uamuzi wa pingamizi dhidi ya rufaa hiyo. Rufaa hiyo imefunguliwa na Juma Ally Magoma na mwenzake Geoffrey Mwaipopo, wakipinga uamuzi wa Mahakama…