Nabi atoa sababu kuikataa Azam FC

AZAM FC imemtangaza Rachid Taoussi kuwa kocha mkuu kwa mkataba wa mwaka mmoja kuchukua nafasi ya Youssouf Dabo, lakini kabla ya kutua kwa Mmorocco huyo, ilidaiwa klabu hiyo ilikuwa ikimwinda kocha wa zamani wa Yanga, Nasreddine Nabi aliyefungua sababu ya kulitema dili ghilo la Chamazi. Taoussi aliyetua juzi nchini sambamba na wasaidizi watatu, Kocha msaidizi,…

Read More

Rais Abdelmadjid Tebboune ashinda muhula wa pili Algeria – DW – 09.09.2024

Katika matokeo ambayo yaliwashangaza waangalizi wachache kimataifa na hata ndani ya Algeria kwenyewe, tume huru ya uchaguzi nchini humo ilitangaza Jumapili kwamba Tebboune ameshinda asilimia 94 ya kura, akiwazidi wapinzani wake, mgombea wa chama cha Kiislamu, Abdelali Hassani Cherif, aliyepata asilimia 3 pekee na msoshalisti Youcef Aouchiche, ambaye aliambulia asilimia 2.1. Maafisa wa uchaguzi wameripoti kuwa…

Read More

SHINDA MKWANJA LEO KUPITIA MICHUANO YA UEFA NATIONS LEAGUE NA MERIDIANBET

USIJIULIZE sana utaimalizaje wikiendi yako kibabe kwani Meridianbet wapo kuhakikisha wikiendi inamalizika kibabe sana, Kwani leo itapigwa michezo ya Uefa Nations League na itakupa fursa ya kupiga mkwanja wa kutosha. Michuano ya Uefa Nations League kwasasa ndio imebaki kama mkombozi kipindi hiki ligi zimesimama, Kwani inapigwa michezo mikali na kampuni ya Meridianbet pale kwenye tovuti…

Read More

POLISI YAONGEZA NGUVU UCHUNGUZI TUKIO LA MAUAJI

Jana Septemba 7,2024 Jeshi la Polisi lilitoa taarifa juu ya Ally Mohamed Kibao kushushwa kutoka kwenye basi la Tashrif na kuchukuliwa na watu ambao hawakuweza kutambuliwa na kwamba uchunguzi ulianza baada ya kupokelewa taarifa hiyo. Baada ya kutolewa taarifa za kuonekana mwili wa mtu mwanaume ambaye hakuweza kutambuliwa kwa wakati huo ni mwili wa nani…

Read More

WANANCHI BAGAMOYO WAPOKEA ELIMU YA FEDHA

Baadhi ya watumishi wa Wilaya ya Bagamoyo wakifuatilia mada zilizokuwa zikiwasilishwa na Maafisa kutoka Wizara ya Fedha waliowasili kutoa elimu ya fedha kwa watumishi, kuhusu usimamizi wa fedha binafsi, dhamana za mikopo, riba pamoja na uwekezaji, katika ukumbi wa mikutano wa wilaya ya Bagamoyo, Pwani. Afisa Usimamizi wa Fedha kutoka Wizara ya Fedha Bw. Stanley…

Read More