
Bank Of Africa Tanzania Yaendesha Mafunzo Ya Biashara Kwa Wateja Wake Kahama.
Na Mwandishi Wetu. BANK of Africa Tanzania , imeendesha semina kwa wajasiriamali wa Kahama mkoani Shinyanga , kupitia kauli mbiu ya “TUKUE PAMOJA” inayodhihirisha mkakati wake wa kusaidia wafanyabiashara wadogo na wa kati (SMEs) nchini Tanzania katika kufanikisha ukuaji wa kifedha na kuimarika kwa biashara zao. Semina hiyo imefanyika hivi karibuni mjini Kahama na imelenga…