
Kiungo Prisons arejea na presha ya namba
BAADA ya kupotea kwa muda mrefu uwanjani, kiungo mshambuliaji wa Tanzania Prisons, Tariq Simba anatarajia kuanza mazoezi mepesi, huku akikiri vita ya namba kikosini. Nyota huyo alijiunga na Maafande hao dirisha dogo msimu uliopita akicheza mechi tano pekee na kuwa nje ya uwanja kufuatia operesheni aliyofanyiwa ya jino. Kwa sasa nyota huyo anaendelea kuuguza majeraha…