
Ushindi wampa ahueni Zahera | Mwanaspoti
USHINDI wa bao 1-0 iliyopata Namungo jana Jumamosi katika mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya Ligi Championship, Mbeya Kwanza umemfanya ahueni kocha wa kikosi hicho, Mwinyi Zahera aliyesema amepata mwanga katika jukumu alilonalo la kubadili upepo mbaya wa matokeo katika Ligi Kuu Bara. Licha ya kuonekana kucheza soka safi, Namungo imejikuta ikianza vibaya msimu…