
Wafurika kuaga miili ya mama, mwana waliofariki kwa kuchomwa moto
Moshi. Mamia ya waombolezaji katika Kijiji cha Marin’ga, mkoani Kilimanjaro wamefurika kuaga miili ya watu wawili kati ya watatu, akiwemo mama na mwanawe waliofariki dunia kwa kuchomwa moto na watu wasiojulikana na kisha kuitelekeza miili hiyo eneo la msitu wa Hifadhi Korogwe Fuel, uliopo kijiji cha Sindeni wilayani Handeni, Mkoa wa Tanga. Jonais Shao (46) ambaye…