Wakali 40 kushiriki vita ya fimbo

WACHEZA Gofu Wanawake 40 kutoka ndani na nje ya nchi wamethibitisha rasmi kuwania taji la ubingwa wa mashidano ya   Tanzania Open ambayo yanaanza siku ya Alhamisi jijini Arusha. Idadi hiyo, kwa mujibu wa katibu wa mashidano, Rehema Athumani, inaweza kuongezeka kwani dirisha la usajili bado halijafungwa. “Wacheza gofu 40 ndiyo waliothibitisha kushiriki hadi kufikia Jumamosi…

Read More

Huyu hapa mshindani wa Msuva Iraq

WINGA wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Simon Msuva wikiendi iliyopita alitambulishwa na Al Talaba inayoshiriki Ligi Kuu ya Iraq. Msuva amesajiliwa na klabu hiyo akitokea Al Najma ya Saudi Arabia alikodumu kwa msimu mmoja na kufunga mabao manne kwenye michezo 15. Licha ya nyota huyo wa zamani wa Yanga kutambulishwa kikosini hapo,…

Read More

Masauni awapa ujumbe wa haki Polisi, vigogo wizarani

Dar es Salaam. Waziri wa Mambo ya Ndani wa Tanzania, Hamad Masauni amewataka maofisa wa wizara hiyo likiwemo Jeshi la Polisi kuhakikisha wanabeba matatizo ya wananchi kama ya kwao. Amewataka wafanye hivyo kwa kujua, wana dhima kubwa kwa Mungu na kwamba kuna maisha baada ya nafasi walizonazo. Kauli hiyo ya Masauni inakuja katika kipindi ambacho,…

Read More

Vijiwe vya kahawa ni jungu kuu la kusaka busara kwa wanaume

Dar es Salaam. Kijana wa miaka 36 (jina linahifadhiwa) anaanza kwa kusema, “Nilipata changamoto kubwa ya kuiongoza familia yangu. Ilifikia hatua nilifikiria kuachana na mke wangu. “Nilipozungumza na baba, aliniuliza maswali kadhaa, kama vile iwapo nimewahi kutafuta ushauri na kama kuna watu ninaoshirikiana nao kimtazamo na kushauriana.” Kijana huyo anasema alimweleza baba yake jinsi anavyosikia…

Read More

Aisha Masaka kuanza na Everton, Man City

MSIMU mpya wa Ligi ya Wanawake England unaanza rasmi mwezi huu na klabu ya Brighton & Hove Albion anayoichezea Mtanzania, Aisha Masaka inatarajiwa kuanza na Everton Septemba 21. Masaka alisajiliwa msimu huu na klabu hiyo akitokea BK Hacken ya Sweden alikodumu kwa misimu miwili tangu ajiunge nao mwaka 2022 akitokea Yanga Princess. Kwa mujibu wa…

Read More

Dar yalipania Kombe la Dunia Kriketi T20

BAADA ya kufuzu kucheza kombe la dunia kwa vijana wa chini ya miaka 19, Tanzania ina kibarua kingine cha kusaka tiketi ya kucheza fainali za kombe la dunia kwa kriketi ya mizunguko 20 ambayo Dar es Salaam ndiyo mwenyeji wake. Ni michuano inayoshirikisha timu za mataifa sita ya Afrika ikiwemo Tanzania, kwa mujibu wa ratiba…

Read More

MBUNGE OLE LEKAITA AMPA TANO RAIS SAMIA UTEKELEZAJI MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI KITETO

Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mkoani Manyara Mhe Edward Ole Lekaita amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kazi anayoifanya ya kuhakikisha maendeleo yanawafikia wananchi kwa wakati. Amesema kuwa Rais Samia amekuwa kinara kuhakikisha wananchi wanapata maendeleo ambapo ametaja mafanikio ya miradi mbalimbali ikiwemo kampeni ya kumtua ndoo…

Read More