Ishu ya Kagoma, Simba ipo hivi!

MASHABIKI wa Simba wametaharuki baada ya kuzagaa taarifa kwamba kiungo mkabaji mpya wa timu hiyo, Yusuf Kagoma amepigwa stop, lakini ukweli ulivyo juu ya sakata hilo haupo hivyo baada ya menejimenti ya mchezaji na mabosi wa Kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji ya TFF kuanika kila kitu. Kagoma aliyesajiliwa na Simba kutoka Singida Fountain…

Read More

Yao aishusha presha Yanga | Mwanaspoti

YANGA inaendelea kujifua Dar es Salaam ikijiandaa na mchezo wa kwanza wa raundi ya pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya CBE SA ya Ethiopia utakaopigwa Jumamosi ijayo jijini Addis Ababa, huku beki wa kulia wa timu hiyo, Yao Kouassi akikoleza moto baada ya kurejea uwanjani kutoka majeruhi. Beki huyo aliyekuwa ameumia mazoezini wakati…

Read More

LEO NDIO ILE SIKU YAKO YA KUBUTUA MAMILIONI

LEO ndio ile siku yako ya kubutua mamilioni kupitia michezo ambayo itachezwa leo, Kwani leo ni michezo mikali na ya kibabe tu itakwenda kupigwa na ndio itakua fursa yako ya kuondoka maokoto ya kutosha. Michezo mikali itachezwa leo kwenye michuano ya Uefa Nations League na kama kawaida mabingwa wa michezo ya kubashiri Meridianbet wamemwaga Odds…

Read More

Mastaa Bara wafunika Afrika | Mwanaspoti

LIGI Kuu Bara imesimama kwa wiki mbili, lakini mastaa wa timu mbalimbali wa timu za ligi hiyo kwa sasa wapo katika majukumu la kimataifa na juzi usiku baadhi yao walikiwasha wakiwa na timu za mataifa yao katika mbio za kuwania tiketi ya fainali ya Kombe la Mataifa Afrika (Afcon) 2025 zitakazofanyika Morocco. Wachezaji wa Simba,…

Read More

TFF yajitosa matibabu ya Mdamu

WAKATI wadau mbalimbali wakiendelea kumsaidia aliyekuwa mshambuliaji wa Polisi Tanzania, Gerrard Mdamu, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), nalo limeibuka kumuokoa jahazi la matibabu ya mchezaji huyo. Mdamu alipatwa na ajali ya gari, Julai 2021 wakati akitoka mazoezi na timu huyo ilipokuwa Ligi Kuu Bara na kufanyiwa upasuaji ambao umemfanya awe nje ya uwanja kwa mwaka…

Read More

ONGEA NA AUNT BETTIE: ‘Nikifulia’ mwenza wangu hasisimki

Swali: Anti nahisi changamoto za maisha zinaondoa msisimko wa penzi zetu. Kwani mwenza wangu simuelewi kabisa, hasa siku ambazo hali nyumbani inakuwa ngumu, hasisimki hata nikimshika maeneo ninayojua huwa anasisimka. Angalau kidogo kukiwa na nafuu, hasa siku ninazowalipia watoto ada ya shule, mke wangu anakuwa na ushirikiano sana. Simlaumu kwani ni mvumilivu sana hali yangu…

Read More

MFUKO WA UWEKEZAJI WA PAMOJA ‘ALPHA Halal Fund ‘ WAINGIA MAKUBALIANO NA KAMPUNI TANZU YA SOKO LA HISA UINGEREZA

 MFUKO wa Uwekezaji wa Pamoja wa Alpha Halal Fund umeingia makubaliano na kampuni tanzu ya soko la hisa la Uingereza, Infinitive, kwa ajili ya kupata taarifa muhimu za masoko duniani. Akizungumza katika hafla hiyo leo Septemba 7,2024 Jijini Dar es Salaam Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Alpha Halal Fund Gerase Kamugisha, akieleza kwamba Refinitiv, itatoa…

Read More