
Polisi wanawake waitambia Magereza kikapu
Wakati michezo ya majeshi ikiendelea katika viwanja mbalimbali ndani ya Manispaa ya Morogoro, timu ya Polisi ya wanawake imeibuka na ushindi wa point 61 -58 dhidi ya timu ya wanawake ya Magereza. Mchezo huo umechezwa jioni ya Septemba 7 katika uwanja wa Bwalo la umwema. Akizungumza mara baada ya mchezo huo, kocha wa Polisi, Nasri…