
KILICHOMPOZA MCHUNGAJI KIBOKO YA WACHAWI – MWANAHARAKATI MZALENDO
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni, amefichua sababu zilizomfanya serikali kumfukuza nchini mchungaji maarufu anayejulikana kama ‘Kiboko ya Wachawi.’ Kwa mujibu wa Masauni, mchungaji huyo aliondolewa nchini baada ya kukiuka sheria za usajili na kushiriki katika vitendo vilivyo kinyume na mafundisho ya dini. Waziri Masauni amesema kuwa ameshuhudia mchungaji huyo, ambaye kwa…