
DKT. BITEKO AKUTANA NA BALOZI MPYA WA UINGEREZA NCHINI
Tanzania na Uingereza Kuimarisha Ushirikiano katika Sekta ya Nishati Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko Septemba 6, 2024 jijini Dodoma amekutana na kufanya mazungumzo na balozi mpya wa Uingereza nchini. Mhe. Marianne Young. Lengo la mazungumzo hayo likiwa ni kujitambulisha…