Wahandisi wapata matumaini mapya Matumaini ya Wahandisi ya kujiimarisha

    Na Chalila Kibuda,Michuzi. Jukwaa la usimamizi wa mtandao Tanzania Internet Governance Forum(TzIGF)  limesema kuwa kuna umuhimu wa kuangalia sera ya  nchi katika  masuala ya mitandao kutokana na Mapinduzi ya Teknolojia zinaweza kuwa zimepitwa na wakati. Wakizungumza katika Jukwaa lililoandaliwa  na Taasisi ya internet Society Tanzania Chapter(ISOC-TZ) lililokutanisha vijana na wadau mbalimbali walisema Teknolojia…

Read More

Jukwaa la usimamizi wa mtandao yajikita kungalia sera ya huduma za mitandao

Mhandisi Danford Mbarama wa Kitengo cha Miundombinu wa Wizara ya Habari , Mawasiliano na Teknolojia ya Habari akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Jukwaa la Usimamizi wa Mtandao ulioandaliwa na Taasisi ya Internet Society Tanzania Chapter (ISOC) uliofanyika jijini Dar es Salaam. Miriam Shaka wa Block chain and cryptocurrency akizungumza kuhusiana usimamizi wa mitandao…

Read More

MKURUGENZI WA MATI SUPER BRANDS LIMITED AJITOKEZA KUJIANDIKISHA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA .

Na Mwandishi Wetu,Manyara . Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya kuzalisha vinywaji changamshi ya Mati Super Brands Limited David Mulokozi amejitokeza kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la Wapiga kura katika kituo Cha Bagara Sekondari Wilayani Babati Mkoani Manyara huku akieleza kufurahishwa na zoezi hilo linaloendeshwa kwa ufanisi mkubwa na Tume Huru ya Uchaguzi na kuwataka wakazi…

Read More

WMA, TAKUKURU WATEKELEZA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA

Mgeni Rasmi, Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma Kaspar Mmuya, akizungumza wakati akifungua semina kuhusu matumizi ya vipimo sahihi iliyoandaliwa na Wakala wa Vipimo (WMA), Mkoa wa Dodoma kwa watumishi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Septemba 06, 2024 jijini Dodoma. Na Veronica Simba, WMA Dodoma Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa…

Read More

Wanne wafariki Moro ajali iliyohusisha magari matatu

Morogoro. Watu wanne wamefariki dunia na wengine 15 wamejeruhiwa baada ya magari matatu likiwemo basi la kampuni ya Kibisa kugongana katika eneo la Mikese, barabara ya Morogoro – Dar es Salaam jana 1:30 usiku. Alipotafutwa na Mwananchi kuzungumzia ajali hiyo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Alex Mkama hakupatikana mara moja, jitihada za kumtafuta zinaendelea….

Read More

Notisi ya TAA kwa kampuni ya ndege yakwama kwa muda

Arusha. Mahakama Kuu Divisheni ya Ardhi, Septemba 2, 2024, iLItoa zuio la muda linalozuia notisi inayoitaka Kampuni ya Ndege ya W-Cargo Airline Limited kuondoka katika eneo linalomilikiwa na Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA). Uamuzi huo umetolewa kutokana na maombi ya zuio yaliyowasilishwa mahakamani hapo na kampuni hiyo,  ikiomba Mahakama itoe zuio la muda hadi…

Read More