HEKAYA ZA MLEVI: Waganga wetu kumbe nao wamerogwa

Amini usiamini katika miaka ya nyuma watu waliokuja kujitafuta mjini waliogopa kurudi vijijini walikozaliwa. Kulikuwa na kitisho cha imani za ushirikina hivyo waliogopa kurogwa. Waliomudu kwenda huko walihakikisha wanabeba magunia ya sukari kwa ajili ya kugawa kwa wanakijiji.  Waliogopa kuonekana wanaringia mafanikio yao, na kwamba wangerudishwa kwenye statasi za wenyeji hata kwa kutiwa uchizi. Hali…

Read More

Aga Khan kuchunguza maumivu ya mgongo bure

Dar es Salaam. Hospitali ya Aga Khan kesho Jumapili, inatarajia kufanya uchunguzi wa maumivu ya mgongo bure na mpango matibabu kwa punguzo la hadi asilimia 50, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Fiziotherapia (tiba mazoezi). Aga Khan inafanya hivyo kuungana na mataifa mengine katika kuadhimisha siku hiyo  inayoadhimishwa kila mwaka siku…

Read More

Vichanga watupwa chooni Njombe,Polisi watoa onyo

Mtoto Mchanga anayekadiriwa kuwa na umri wa siku kadhaa amekutwa ametupwa kwenye shimo la choo katika mtaa wa Idundilanga halmashauri ya mji wa Njombe huku mama yake akiwa bado hajatambulika. Fioteus Ngilangwa ni mwenyekiti wa serikali ya mtaa huo ameieleza Ayo TV kuwa alipokea taarifa ya uwepo wa mtoto huyo ndani ya shimo kwenye nyumba…

Read More

Mabegi manne ya dawa zisizofaa yakamatwa uwanja wa ndege

Mamlaka ya Dawa na Chakula Zanzibar ZFDA imefanikiwa kukamata mabegi manne yenye Dawa za Matumizi ya Binadamu ambazo zinadaiwa kua sio salama kwa matumizi ya Binadamu dawa ambazo zimeingia kupitia uwanja wa ndege wa Abeid Amaan karume Airport (AAKIA) siku ya Jana Kaimu Mkurugenzi wa ZFDA amesema dawa hizo zimeingia kupitia ndege ya Ethiopia Airline…

Read More

Hapi awaonya viongozi wasio wajibika,ataka wasilaumu chama

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya wazazi CCM Taifa Ally Hapi akiwa Kibaha Vijijini amepigilia msumari suala la viongozi waliopo madarakani kuhakikisha wanafanya kazi na kutoa mrejesho kwa wananchi waliompa madaraka hayo kuwaongoza hususani katika kipindi hiki ambacho wataingia katika kugombea nafasi zao na kuomba ridhaa kwa wananchi kuwachagua badala ya kuja kulalamika baada ya kushindwa…

Read More