
Waganga wetu kumbe nao wamerogwa
Amini usiamini katika miaka ya nyuma watu waliokuja kujitafuta mjini waliogopa kurudi vijijini walikozaliwa. Kulikuwa na kitisho cha imani za ushirikina hivyo waliogopa kurogwa. Waliomudu kwenda huko walihakikisha wanabeba magunia ya sukari kwa ajili ya kugawa kwa wanakijiji. Waliogopa kuonekana wanaringia mafanikio yao, na kwamba wangerudishwa kwenye statasi za wenyeji hata kwa kutiwa uchizi. Hali…