Hezbollah wajibu mapigo – Mwanahalisi Online

  KUNDI la wapiganaji wa Hizbollah, nchini Lebanon limejibu mapigo baada ya Israel kuyashambulia makao makuu yake huko Hezbollah, Beirut. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endela). Israel ilifanya mashambulizi kadhaa kwenye makao makuu ya kundi hilo na kwamba mkuu wa Hezbolla, Hassan Nasrallah ndiye aliyekuwa akilengwa. Jeshi la Israel limesema pia kuwa limemuua kamanda wa Hezbollah…

Read More

Aliyeua mtoto wa miaka miwili kutunzwa Isanga

Geita. Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Geita imeamuru mshtakiwa John Alex aliyekuwa akishtakiwa kwa kosa la kumuua mtoto Revina Joseph (2) kutunzwa katika Taasisi ya wagonjwa wa akili Isanga kama mhalifu mgonjwa wa akili. Katika kesi hiyo namba 59/2022 iliyokuja kwa ajili ya usikilizwaji Jaji wa Mahakama hiyo, Athuman Matuma ametoa uamuzi baada ya kusikiliza…

Read More

Askari aliyedaiwa kupotea akutwa amefariki msituni

Unguja. Askari wa Kikosi cha Valantia (KVZ), Haji Machano Mohamed ambaye alidaiwa kupotea akiwa katika mafunzo ya uongozi, mwili wake umepatikana ukiwa umeharibika msituni. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari leo Septemba 28, 2024 na Kamanda wa Polisi  Mkoa wa Kusini Unguja, Daniel Shillah askari huyo alipotea tangu Agosti 8, 2024 na…

Read More

Uzembe wa dereva chanzo ajali iliyoua 12 Mbeya

Mbeya. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya,  Wilbert Siwa ametaja chanzo cha ajali iliyoua watu 12 na kujeruhi 23, akisema ni dereva kushindwa kuchukua tahadhari kwenye mteremko na kusababisha gari kuacha njia na kupinduka. Ajali hiyo ilitokea jana Septemba 27, 202 baada ya gari aina ya Mitsubishi Fuso lililokuwa likitokea Mbalizi kuelekea kwenye mnada…

Read More

Maajabu jiwe la Kapigipondo Mwanza

Mwanza. Bismarck Rock au Jiwe la Bismarck ni jiwe maarufu siyo tu kwa wakazi wa Jiji la Mwanza, bali pia wageni kutoka ndani na nje ya nchi wanaotembelea jiji hilo. Jiwe hilo lipo juu ya mawe yaliyojipanga kwa upekee ndani ya maji ya Ziwa Victoria, kana kwamba yamepangwa na kundi la wahandisi wabobevu tena kwa…

Read More

Tanzania yaweka msimamo kupinga ukoloni mamboleo

New York. Tanzania imeweka wazi msimamo wake kimataifa juu ya kupinga ukoloni mamboleo na vikwazo vya kiuchumi vinavyowekwa dhidi ya nchi zinazoendelea. Sambamba na hilo, imesisitiza umuhimu wa ulimwengu kudumisha amani kuheshimu kanuni za Mkataba wa Umoja wa Mataifa na kushirikiana ili kufikia mustakabali mzuri na shirikishi. Msimamo huo wa Tanzania, umetolewa na Waziri Mkuu,…

Read More