Sloti ya Capital City Derby Meridianbet

  Jiandae kwa tukio la michezo la sloti linalokusudiwa kuwafurahisha mashabiki wote wa michezo ya kubahatisha ya kasino ya mtandaoni! Uwe shabiki wa timu yenye jezi nyekundu au nyeusi na nyeupe, timu yako uipendayo itakusaidia kushinda bonasi za kushangaza na Mamilioni kutoka Meridianbet. Karibu kwenye tamasha la mpira wa miguu – cheza Capital City Derby!…

Read More

Uchunguzi wa haki unadai kuwekewa vikwazo zaidi vya silaha ili kukomesha unyanyasaji 'uliokithiri' – Global Issues

“Tangu katikati ya Aprili 2023, mzozo wa Sudan umeenea hadi majimbo 14 kati ya 18 yanayoathiri nchi nzima na eneo hilo, na kuwaacha Wasudan milioni nane kuwa wakimbizi wa ndani kutokana na vita, na milioni mbili – zaidi ya milioni mbili – kulazimishwa. kukimbilia nchi jirani,” alisema Mohamed Chande Othman, Mwenyekiti wa Baraza Ujumbe Huru…

Read More

Makalla: Kujitokeza kupiga kura ndiyo msingi wa ushindi

Dar es Salaam. Chama cha Mapinduzi (CCM), kimesema msingi wa ushindi wa chama chochote cha siasa katika uchaguzi ni kuhakikisha wananchi wanajitokeza kushiriki michakato yote ya kuelekea uchaguzi. Michakato hiyo inahusisha kujiandikisha katika daftari la kudumu la mpigakura na kushiriki kupiga kura. CCM inakuja na kauli hiyo ikiwa imesalia miezi mitatu kuelekea uchaguzi wa serikali…

Read More

Serikali: Pandeni mazao yasiyowavutia tembo

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Pindi Chana ametoa wito kwa wananchi kupanda mazao yasiyowavutia tembo, kama ufuta, ili kupunguza uharibifu unaosababishwa na wanyamapori hao.  Wito huo umetolewa leo, Septemba 6, 2024, wakati wa kikao na baadhi ya madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Meatu, mkoani Simiyu, kilichofanyika katika ukumbi wa Pius Msekwa, Bungeni jijini…

Read More

Mfanyabiashara kortini akidaiwa kujipatia Sh438 milioni kwa udanganyifu

Shinyanga. Mfanyabiashara na mkazi wa Ilala jijini Dar es Salaam, Sharifa Ibrahim (32) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Shinyanga akikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi. Mfanyabiashara huyo anayedaiwa kutenda makosa hayo akiwa na wenzake (idadi haijatajwa), amefikishwa na kusomewa mashtaka matatu katika kesi ya uhujumu uchumi namba 000024322/2024, mbele ya hakimu mkazi wa mahakama…

Read More

Sh100 milioni kurejesha maji Karatu

Karatu. Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amesema ndani ya siku saba Serikali itapeleka Sh100 milioni Karatu mkoani Arusha ili kurekebisha visima vilivyofunikwa na tope kutokana na mafuriko yaliyotokea Aprili 8, 2024. Katika mafuriko hayo, Mtaa wa Mangafi ni miongoni mwa maeneo yaliyoathirika ambapo nyumba 502 zilifunikwa na maji, sambamba na kusababisha wananchi 7, 687 kukosa…

Read More