Maagizo ya Jafo kwa Bodi ya TBS “wachukulieni hatua”

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani Jafo (Mb) ameliagiza Shirika la Viwango Tanzania (TBS) ifikapo mwezi Desemba,2024 kuwachukulia hatua za kisheria kwa wamiliki wa Viwanda na wazalishaji wa bomba (holepipes) wanaokiuka sheria za viwango vinavyowekwa na Shirika hilo ikiwemo kuteketeza bidhaa hizo na gharama za uteketezaji zitakuwa chini ya mmiliki wa bidhaa hizo. Ameyasema hayo…

Read More

Mbowe amdai Msigwa Sh. 5 bilioni

  FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ametoa siku tano kwa aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, Kanda ya Nyassa, Mchungaji Peter Msigwa, kuomba radhi na kulipa fidia ya Sh. 5 bilioni. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Mbowe anadai kiasi hicho cha fedha kwa madai ya kukashifiwa na kuvunjiwa…

Read More

Kanisa jipya la Anglikana laanzishwa Tanzania

Dar es Salaam. Kanisa jipya la Anglikana lijulikanalo kama Episcopal Anglican Province Tanzania linatarajiwa kuzinduliwa Septemba 15 Kongwa mkoani Dodoma. Kuzinduliwa kwa kanisa hilo kunatajwa kutawapa chaguo waumini wote wa Anglikana kuamua waabudu kanisa lipi kati ya hili jipya na lililopo nchini. Kuanzishwa kwa kanisa hili kunatajwa kurejesha na kusimamia misingi ya Kanisa la Anglikana…

Read More

Siku ya Uhuru wa Tanganyika tukapande Mlima Kilimanjaro” TANAPA

SHIRIKA la Hifadhi za Taifa Tanzania ( TANAPA) limezindua rasmi msimu wa nne wa kampeni ya Twendezetu kileleni 2024, ili kuhamasisha Watanzania kupanda mlima Kilimanjaro ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya uhuru wa Tanganyika. Akizungumza na waandishi wa habari leo Septemba 6, 2024, jijini Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi wa Kitengo cha Maendeleo ya Biashara TANAPA,…

Read More

Shinda mamilioni leo na Meridianbet

  Ni siku nyingine ya kufurahia uwepo wa kampuni bingwa ya michezo ya kubashiri Meridianbet kwani leo unaweza kuendelea kushinda mamilioni kupitia michezo mbalimbali ambayo itakwenda kuchezwa leo. Michezo mbalimbali itaendelea ikiwemo michuano ya Uefa Nations League, michuano ya kufuzu Afcon mwaka 2025, Lakini pia michuano ya kufuzu kombe la dunia mwaka 2026 kwa upande…

Read More

Tanzania kubeba ajenda ya vijana, wenye ulemavu mkutano UN

Dar es Salaam. Ushirikishwaji wa vijana na watu wenye ulemavu ni miongoni mwa mambo yaliyopendekezwa na yatakayowasilishwa katika mkutano wa Umoja wa Mataifa uitwao Summit of the Future, utakaofanyika nchini Marekani Septemba 22 hadi 23, 2024. Hayo yameelezwa leo Septemba 6, 2024 wakati wa ukusanyaji maoni ya kupeleka kwenye mkutano huo unaohusisha asasi za kiraia,…

Read More