SERIKALI YATAMBUA MCHANGO WA NGOs KUKUZA UCHUMI WA TAIFA

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko,akizungumza  wakati akifunga  Jukwaa la Mwaka la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali lililofanyika leo Septemba 6,2024  jijini Dodoma. Baadhi ya washiriki wakisikiliza hotuba ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko,(hayupo pichani)   wakati akifunga  Jukwaa la Mwaka la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali…

Read More

Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar afungua mashindano ya BAMATA

Makamu wa Pili wa Rais Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Hemedi Suleiman leo Septemba 6, 2024 amefungua mashindano ya Michezo  ya  Baraza la Michezo la Majeshi Tanzania (BAMATA), huku akiwataka wananchi kujitokeza kuunga mkono michezo hiyo. Mashindano hayo yanashirikisha  majeshi yote ya Ulinzi na Usalama nchini  ambapo itafanyika kwenye  Uwanja  Jamhuri Mkoani Morogoro. Aidha ametoa…

Read More

Bendera yatajwa sababu vurugu Chadema, UVCCM

Dar es Salaam. Ushindani wa kupeperusha bendera mtini, unatajwa kuchochea ugomvi uliomsababishia kipigo na hatimaye majeraha kiongozi wa Chadema Wilaya ya Tanga, Hussein Ally kutoka kwa vijana wanaodaiwa kuwa wa CCM. Hatua hiyo ilifikiwa baada ya vijana wa CCM kushusha bendera ya Chadema iliyokuwapo kwa takriban miaka mitatu katika mti uliopo kwenye kituo cha bodaboda…

Read More

Chalamanda alia dakika za lala salama

KIPA wa Kagera Sugar, Ramadhan Chalamanda amesema kupoteza umakini katika dakika za mwisho ndiko kumewanyima pointi sita katika michezo miwili waliyocheza, huku akiahidi mchezo dhidi ya Tabora United kitaeleweka. Kagera Sugar ambayo haijawahi kushuka daraja tangu ilipopanda Ligi Kuu Bara 2004, msimu huu haijaanza na matokeo mazuri ikipoteza michezo miwili mfululizo na kuwa mkiani kwenye…

Read More

SERIKALI YAWEKA MIKAKATI KUHUSU SUALA LA UHABA WA FEDHA ZA KIGENI

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), akizungumza wakati wa kikao na ujumbe kutoka Ubalozi wa Uingereza nchini ukiongozwa na Balozi Mpya wa Uingereza Nchini, Mheshimiwa Marrianne Young, ulipofika ofisini kwa Waziri wa Fedha jijini Dodoma kwa ajili ya kujiambulisha, ambapo pamoja na mambo mengine wamejadiliana masuala mbalimbali ya ushirikiano katika kukuza…

Read More

Ajali ya basi la AN Coach yaua 11, lajeruhi 44

  WATU 11 wamepoteza maisha na wengine 44 wamejeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya A-N Coach lenye namba ya usajili T282 CXT kupata ajali katika eneo la Luanjilo Wilaya ya Mbeya Vijijini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Mbeya … (endelea). Ajali hiyo imetokea alfajiri ya leo Ijumaa, Septemba 6, 2024 baada ya basi hilo lililokuwa likitoka…

Read More