
Mama, bintiye walivyouawa kikatili, wahalifu wajipakulia wali maharage
Dodoma. Ni ukatili wa kutisha. Ndivyo unavyoweza kueleza mauaji ya Mwamvita Mwakibasi (33) na mwanaye Salma Ramadhan (13) yaliyotokea usiku wa kuamkia Septemba 6, 2024 Mtaa wa Muungano, Kata ya Mkonze jijini Dodoma, huku wahalifu hao ikielezwa walipakua wali na maharage kisha kwenda kula nyuma ya nyumba ya jirani. Mwili wa mama ulikutwa kitandani, huku…