Mateso ya Mdamu yashtua nyota Ligi Kuu

BAADHI ya wachezaji wa timu za Ligi Kuu Bara wamedai kushtushwa na kusikitishwa na hali aliyonayo sasa nyota wa zamani wa Polisi Tanzania, Gerald Mathias Mdamu, kuendelea kuteseka na kushindwa kufanya majukumu ya kifamilia na kisoka kwa ujumla. Mwanaspoti lilibua hali ya Mdamu baada ya kumtembea nyumbani kwake Kimara Bonyokwa, ambako alifunguka kwamba bado anahitaji …

Read More

Zahera: Bado nipo nipo sana Namungo

BAADA ya tetesi nyingi kuhusiana na kocha Mwinyi Zahera kufanya makubaliano na uongozi kabla ya kupigtwa chini, mwenyewe ameibuka na kuweka wazi kuwa bado yupo sana Namungo. Zahera ameiongoza timu hiyo katika mechi mbili za kwanza za Ligi Kuu Bara na kupoteza zote mbele ya Tabora United ilikalala 2-1 na Fountain Gate iliyowachapa 2-0 na…

Read More

Wanawake wahimizwa kugombea uchaguzi wa serikali za mitaa

Geita. Wakati nchi ikielekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa Novemba 27, 2024, wanawake wametaakiwa kujitokeza kugombea nafasi mbalimbali na kutoogopa vitisho vya wanaume. Wito huo wa Mkuu wa Wilaya ya Mbogwe, Sakina Mohamed umekuja kutokana na idadi ndogo ya wanawake ambao wamekuwa wakijitokeza katika chaguzi zilizopita. Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara ya Nchi,…

Read More

Simon Msuva autaka ufalme Iraq

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva (30), ameeleza mikakati yake wakati akianza safari mapema leo, Ijumaa kwenda Iraq kwa ajili ya kujiunga na chama jipya la  Al Talaba SC. Msuva ambaye alikuwa nchini kwa zaidi ya miezi mitatu tangu kumalizika kwa msimu uliopita ambao alikuwa akiichezea Al-Najma  ya Saudi Arabia, alisema hii ni fursa nyingine…

Read More

Hili ndilo Baraza Kivuli la ACT-Wazalendo Zanzibar

Unguja. Chama cha ACT-Wazalendo kimetangaza baraza la wasemaji wa kisekta Zanzibar likiwa na jukumu la kufuatilia utendaji wa Serikali kisera, uchumi na ustawi wa jamii. Majukumu mengine ni kuona jinsi gani sera, sheria, maamuzi na usimamizi wa shughuli za Serikali unaathiri maendeleo na mustakabali wa nchi wa usalama wa raia, utengamano wa kijamii, haki, amani…

Read More

Mamluki waziponza Mwanza JIJI, Dodoma Shemisemita

MASHINDANO ya 39 kwa Watumishi wa Halmashauri za Serikali za Mitaa Tanzania (Shemisemita) yalihitimishwa juzi kwa timu ya soka ya Geita kuichapa Ifakara mabao 3-1 kwenye Uwanja wa Nyamagana, huku Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam (Dar City) ikiibuka mshindi wa jumla ikibeba vikombe 10. Akifunga mashindano hayo yaliyoshirikisha halmashauri 100 kati ya 184,…

Read More

Majaliwa: Wananchi hifadhini chakula | Mwananchi

Dodoma. Serikali imetoa tahadhari kwa wananchi kutumia chakula kwa uangalifu kuanzia ngazi ya familia na kuzingatia kanuni bora za hifadhi ya mazao ya chakula kutokana na utabiri wa hali ya hewa kubashiri msimu huu kutokuwa na mvua za kutosha. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema hayo leo Septemba 6, 2024 akitoa hotuba kuahirisha Mkutano wa 16…

Read More

Gamondi atoa msimamo Yanga | Mwanaspoti

KOCHA mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi ametoa msimamo wake kwa kusema hataki kurudia makosa katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu, akipania kuinoa safu ya ushambuliaji kutumia kila nafasi watakazopata ili kufika mbali zaidi, huku akisistiza kwamba hakuna aliyejihakikishia namba eneo hilo. Gamondi amefunguka hayo muda mfupi baada ya kushuhudia timu ya taifa…

Read More

Zaidi ya watu nusu milioni wameathiriwa vibaya na mafuriko na dhoruba isiyokuwa ya kawaida nchini Yemen – Masuala ya Ulimwenguni

“Yemen inakabiliwa na sura nyingine mbaya katika mgogoro wake usiokoma, unaochochewa na makutano ya migogoro na matukio ya hali ya hewa kali.,” alisisitiza Matt Huber, IOM Kaimu Mkuu wa Mabalozi wa Yemen. Dhoruba hizo zimepiga huku nchi ikikabiliana na mlipuko wa kipindupindu na kuongezeka kwa uhaba wa chakula, na hivyo kuzidisha hatari ya familia zilizohamishwa…

Read More