
MRADI WA KABANGA NICKEL WAVUTIA UWEKEZAJI MKUBWA KUTOKA KAMPUNI ZA AUSTRALIA – MWANAHARAKATI MZALENDO
Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amefanya mazungumzo na viongozi wa kampuni ya madini ya BHP, inayotarajia kushirikiana na Lifezone Metal kuwekeza katika mradi wa uchimbaji madini ya Nickel, Wilaya ya Ngara, Mkoa wa Kagera. Mradi wa Kabanga Nickel, unaosimamiwa na Tembo Nickel, unatarajiwa kugharimu Dola Bilioni 2.2 za Marekani. Kati ya hizo, Dola…