MONGELLA AANZA RASMI ZIARA YAKE MKOANI SHINYANGA

Naibu Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, John Mongella, akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga mara baada ya kuwasili mkoani hapo kwa ziara ya chama ya siku saba leo, tarehe 6 Septemba 2024. Mongella ni mlezi wa CCM Mkoa wa Shinyanga. Pamoja na kutia saini kitabu cha wageni,…

Read More

WAFUGAJI NCHINI WATAKIWA KUJITOKEZA KUJIANDIKISHA DAFTARI LA KUPIGA KURA – MWANAHARAKATI MZALENDO

  Mwenyekiti wa wafugaji nchini, Mrida Mshoda, amewahimiza wafugaji kote nchini kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Mpiga Kura na kuboresha taarifa zao ili waweze kupata haki ya kushiriki katika uchaguzi. Mrida alitoa kauli hiyo wakati akizungumza wilayani Bunda, mkoani Mara, ambapo alisisitiza kuwa kundi hilo kubwa lina jukumu muhimu la kushiriki…

Read More

Benki ya NMB Yashiriki Mkutano Mkubwa wa Madini Australia, Yaeleza Utayari wa Kushirikiana na Wadau – MWANAHARAKATI MZALENDO

  Benki ya NMB inashiriki katika mkutano mkubwa wa madini duniani, Africa Down Under, Perth, Australia unaomalizika leo. Mkutano huu wa siku tatu unawakutanisha wadau wa sekta ya madini kutoka sekta ya umma na binafsi ikiwemo viongozi wa serikali, makampuni ya uchimbaji, wawekezaji na wadau wengine kujadili fursa zilizopo, sera na hali ya jumla ya…

Read More

WAZIRI MKUU ATOA MAELEKEZO UENDESHAJI MRADI WA SGR

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma hotuba ya kuahirisha Mkutano wa 16 wa Bunge, bungeni jijini Dodoma, Septemba 6, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) PMO_0557 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na  Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt.Damas Ndumbaro (kushoto), Mbunge wa Geita Mjini Constantine Kanyasu (Wapili kushoto) na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri…

Read More

Mama, mwanaye wauawa kikatili Dodoma

Dodoma. Mama na mtoto wake wa kike, wakazi wa mtaa wa Muungano jijini Dodoma, wameuawa baada ya kufanyiwa vitendo vya ukatili na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo Septemba 6, 2024. Waliouawa ni Mwamvita Mwakibasi (33) na binti yake Salma Ramadhan (13), mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Mkonze, jijini Dodoma. Dada…

Read More

Ajali ya basi yaua 11, yajeruhi 44 Mbeya

Mbeya. Watu 11 wamepoteza maisha na wengine 44 wamejeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya A-N Coach kupata ajali katika eneo la Luanjilo Wilaya ya Mbeya Vijijini. Ajali hiyo imetokea alfajiri ya leo Ijumaa, Septemba 6, 2024 baada ya basi hilo lililokuwa likitoka Mbeya kwenda Tabora kupinduka wakati likilikwepa lori, kisha kutumbukia mtaroni. Mganga wa…

Read More