Mahakama yakataa kuzuia DC Tunduru kukamata mifugo

Songea. Mahakama Kuu Kanda ya Songea, imelikataa ombi la mfugaji mkazi wa Tunduru, Leleshi Ratu la kutaka Mkuu wa Wilaya (DC) ya Tunduru, azuiwe kuendelea na operesheni ya kukamata mifugo na kutoza faini. Katika uamuzi alioutoa jana Septemba 5, 2024 kuhusu maombi namba 20169 ya 2024 dhidi ya DC na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG),…

Read More

Mbowe kumburuza Mchungaji Msigwa kortini, mwenyewe ajibu

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amevunja ukimya na kutangaza kusudio la kumfikisha mahakamani kutokana na kauli za mfululizo zinazotolewa dhidi yake na mbunge wa zamani wa Iringa Mjini kupitia Chadema, Mchungaji Peter Msigwa. Mbowe ametangaza kusudio hilo kupitia barua ya notisi ya madai aliyomwandikia Mchungaji Msigwa kupitia…

Read More

RAIS RUTO AAGIZA UCHUNGUZI WA KINA – MWANAHARAKATI MZALENDO

Rais wa Kenya, William Ruto, ameonyesha masikitiko yake makubwa kutokana na moto uliotokea katika Shule ya Msingi ya Hillside Endarasha, ambapo wanafunzi 17 wamepoteza maisha. Akizungumza kupitia mitandao ya kijamii, Rais Ruto ameeleza kuwa habari za tukio hilo ni “mbaya sana” na ameagiza mamlaka kufanya uchunguzi wa kina kubaini chanzo cha moto huo. “Tunawaombea manusura…

Read More

Moto waua wanafunzi 17, wajeruhi 14

Dar es Salaam. Wanafunzi 17 wamefariki dunia na 14 kujeruhiwa katika ajali ya moto iliyotokea katika Shule ya Msingi ya Hillside Endarasha iliyopo nchini Kenya. Kwa mujibu wa tovuti ya Daily Nation, tukio hilo limetokea usiku wa Alhamisi Septemba 5, 2024 na kuteketeza baadhi ya mabweni ya shule hiyo. Msemaji wa polisi nchini humo, Dk…

Read More

MADUHU AFUNGUKA – MWANAHARAKATI MZALENDO

Wakili na mwanaharakati wa haki za binadamu, Maduhu William, ameeleza kuwa kumekuwa na mkanganyiko kwa baadhi ya watu kuhusu zoezi linaloendelea la uandikishaji wa wapiga kura. Akizungumza na Jambo TV, Maduhu amesema kuwa watu wamekuwa wakidhani kwamba zoezi hilo litatumika kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, jambo ambalo si sahihi. Kwa mujibu wa Maduhu, zoezi…

Read More

RAIS SAMIA AMPANDISHA CHEO AFISA WA POLISI

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura akimvisha cheo cha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Dora Kiteleki, leo Septemba 6,2024.  IGP Wambura amemvisha cheo hicho baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kumpandisha cheo Septemba 5,2024.

Read More

SAFARI YA MSAMBULIAJI WA NIGERIA KUTOKA NAPOLI HADI GALATASARAY – MWANAHARAKATI MZALENDO

Victor Osimhen, mshambuliaji nyota kutoka Nigeria, amejikuta katika mazingira mapya baada ya mkataba wake wa mkopo na Galatasaray kuashiria mwisho wa safari yake iliyojawa na changamoto katika klabu ya Napoli. Miezi 12 iliyopita, Osimhen alikuwa miongoni mwa wachezaji wanaosakwa zaidi ulimwenguni, akihusishwa na mafanikio ya Napoli katika kunyakua taji lao la kwanza la Serie A…

Read More